Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Tatizo la mahondaw huwa ananipenda sana ila sina pesa ndo maana anajibanza kwa Smart911 . Nami najiweka kwa Mama Sabrina ingawa pesa ya matumizi tunaipata kwa G wake (huwezi kuwa na wivu bila ngawira) sasa mwana CDM atanifaziri niongozane na kipenzi siku hiyo! Upo hapo la Azizi love b ?
Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118]
Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king...
Mahondaw umemsikia narumuk huku??
Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
 
Utasheherekea part na wana jf kweli au na wazee wa kijani na suti nyeusi...... Haaaaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.

Kweli kabisa mahondaw wangu...

Wasione tunawajibu wakadhani tumesahau...

Anyways lakini... ni muhimu to forgive and forget, penye watu hapakosi maneno...
 
Aisee hii ni ngumu yaani siku hiyo vituo vyote vya polisi zitajaa. Tutakamatwa wote dadeki. Lakini hivi wewe hujatumwa kweli?
 
Hahaaa. Ilishawezekana tukakutana watu wanne kwa wakati mmoja naona inatosha ila rundo la watu. Hapana aiseee.

Sababu jf ya sasa sio ile ya zamani na hilo linajulikana.

Davet, ukhuty na Mwifwa wanatosha kwa upande wangu sababu tukikutana kwetu huwa ni zaidi ya Party.
Hv kuna watu wanajua ID yako humu na mnachangia?
 
Back
Top Bottom