Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Ilifana moja tu pale Kebby’s hotel!Enzi kina Cacico na wengineo!
Ngoja tuone hii itakuwaje
 
Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
Simba mkali ila hujifungua tu
 
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.

Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!

I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat kawoli to mention few.

Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!

NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Umesahau jukwaa la wakubwa.... pia
 
Shika adabu yako ikushike na mshikamane wewe na adabu yako [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] Yes Smart911 love am here just for you.. Anything you need my king... Shoo Ndumilakuwili huyu anang'ata na kupuliza. Wee muone kama mtu tu ni chui anaejifanya kondoo tatizo nikwamba mimi huwa sisahau kirahisi that's the problem.. Ni mwana kamati mmoja mzuri sana tena Ile kamati kuu....asione tu namjibu jibu akadhani nimesahau.
Ni jini mkata mkamba nadhani kajiunga jf kuvuruga vuruga tu ,huoni mi kila saa ananitaja kila uzi kila sehemu ,ni wa kumuacha tu
 
Back
Top Bottom