Masese Stevens
Member
- Dec 22, 2016
- 23
- 17
Uwe unanikumbusha best,ili tupeane kampani siku hyEndelea kutembelea uzi huu kwa updates
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna namna inabidi tukupe bucket za kutosha sana ili ukwende huko
Asa curious bila kutambulishana utajuaje kuwa huyu in mshana Jr au darubi.Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.
Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!
I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat kawoli to mention few.
Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!
NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
ID yako ya PiliHalaf we unajuaga ni siri eti dina pacha wangu na nina mapacha wengi tu
Hili hata mm nalionaWazo zuri ila dizaini kama kujuana kwingi,akina sisi wengine tunaweza tukajisogeza kuja sehehmu huko tukajikuta tunaongea na glasi tu.
Nilishaendaga kwenye shughuli moja mkuu watu wanaongea kwa kufahamiana na wote tuko wassap mimi nikaondoka mapema as soon as nilipoondoka nikaleft group wassap.Wakajaribu kunicheki sikujibu mtuHili hata mm naliona
Ulifanya la maana mkuu,hata mm ningefanya hivyoNilishaendaga kwenye shughuli moja mkuu watu wanaongea kwa kufahamiana na wote tuko wassap mimi nikaondoka mapema as soon as nilipoondoka nikaleft group wassap.Wakajaribu kunicheki sikujibu mtu
Usijali swetieeeUwe unanikumbusha best,ili tupeane kampani siku hy
Haya ,Fanya hivyo tuoneUsijali swetieee
Nategemea hutaniangusha mpenziiii[emoji257]
Funguka mkakaaaKuna mtu natamani nimuone siku hiyo