Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna namna inabidi tukupe bucket za kutosha sana ili ukwende huko

Duh, inabidi tukifika huko tukae kwa majukwaa husika.

Mimi nipelekeni MMU moja kwa moja.
 
Si ndo mwanzo wa kuonesha nyuso zetu huo bro,wengine familia zetu zinasimamia nguzo moja sa tukiwa wachochezo ambao hide my id ndo iwe live mkuu?
 
Wapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.

Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!

I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest Jolie Jolie Asprin Sky Eclat kawoli to mention few.

Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!

NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Asa curious bila kutambulishana utajuaje kuwa huyu in mshana Jr au darubi.
Angalizo: wasiojulikana watajàaaaa hii inatakiwa iwe planned vyema
 
Nilishaendaga kwenye shughuli moja mkuu watu wanaongea kwa kufahamiana na wote tuko wassap mimi nikaondoka mapema as soon as nilipoondoka nikaleft group wassap.Wakajaribu kunicheki sikujibu mtu
Ulifanya la maana mkuu,hata mm ningefanya hivyo
 
Baada ya kuonana tukisha maliza nini kitafuata...? Maeneo ya kukutana kuwe na ulinzi wa msaada wa mashirika ya ujasusi wa Marekani, N.Korea na Israel
 
Back
Top Bottom