Embu weka tuoneKama ndio na mie naweka yakwanguuuuu
Weka tu Shoga angu. Mie ndio niko hivyo mwaya.Kama ndio na mie naweka yakwanguuuuu
Daaaa kweli maana isije tukaumbukaKabisa mana wengine tusije na Kanzu zetu huko kumbe kuna kuruka majoka [emoji23]
Hahahaaa. Akiweka nitag rafiki.Embu weka tuone
Haahaaaa. Hapo sawa.Ngoja kwanza tuone venue itakuwa wapi na ni siku ipi?
Anaonekana kuhitaji watu wake.wakaribu awafahamuHahahaaa. Akiweka nitag rafiki.
Mashaalah I wish uwe wifi yangu so tutaonana tu wifieeWeka tu Shoga angu. Mie ndio niko hivyo mwaya.
Hahahaaa. Itakuwa hivyo aiseeeee.Anaonekana kuhitaji watu wake.wakaribu awafahamu
Hahahahaha sí unavunga gari ipo gereji mkuuMimi najifanya nina gari halafu gud lyf utanikutanishaje na wadau? Unataka niumbuke? Hujanikamata
Kaka yako amechelewa mie nshawahiwa mwaya.Mashaalah I wish uwe wifi yangu so tutaonana tu wifiee
Sasa maharamia si watakuwepo coz kufungua acc si not more than 5 mins hahaaaIli kuzuia wazamiaji, "kadi" ya kuingilia ukumbini, mwanaJF atatakiwa ku-log in kwenye computer itakayokuwepo mlangoni kwa kutumia password anayotumia kwenye ID yake ya JF, ikifunguka tutajua ni yeye!
KaribuuuuuKaka yako amechelewa mie nshawahiwa mwaya.
Nina imani itakuja kuwa hivyo tutaonana sie peke yetu tu.
Hahaaa sasa hivyo siitakuwa kama disco bubuNi sawa ila hakuna kutambulishana, mnafika mnasalimiana na kula vyombo tu
Karibuuuuu
Kwamba "mimi hapa kule JF ndo naitwa Kivyako, ahsanteni"Hahaaa sasa hivyo siitakuwa kama disco bubu
Ndio ndiohao uliowataja ndo ujumuike nao maana mpo karibu,
au unaonaje?
[emoji16]