Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Ili kuzuia wazamiaji, "kadi" ya kuingilia ukumbini, mwanaJF atatakiwa ku-log in kwenye computer itakayokuwepo mlangoni kwa kutumia password anayotumia kwenye ID yake ya JF, ikifunguka tutajua ni yeye!
 
Sasa maharamia si watakuwepo coz kufungua acc si not more than 5 mins hahaaa
 
Back
Top Bottom