Hahahaaa. Usijali Pacha umepata.Pacha kwenye party naomba mwaliko tafadhali
Acheni uoga bby..kwan si ndio tunakutana huko huko dunian kila sikuNa baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"
Cheka tu ila ndio mambo hayooHahaha
Kirahisi rahisi tu ahhaaa ach hizoo get back to the pointMimi nataka nkuoe
Mara "sijaona mwanamke mzuri hata mmoja jf kwenye jf party"Na baada ya party kuna nyuzi zitakuja na kichwa cha habari "nilichokutana nacho kwenye jf party sina hamu nacho"
Eh!...hiyo sio point?!...haya.Kirahisi rahisi tu ahhaaa ach hizoo get back to the point
Tatizo wanaume wa jf wanadhanigi wanawake wa humu wanatoka sayari ya mars wazuri kama malaikaAcheni uoga bby..kwan si ndio tunakutana huko huko dunian kila siku
Usinidondoshe swetieee najua uko bomba ile kichiz hutaki vijana wa jf wakubambie waruhusu mara moja tu sio mbaya hahaaaaWalivyokuwa wakitoka kwenye party wanaanza kusemana huyu alikuja ananuka kwapa,huyu vile huyu viatu vimeishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ka fulan kabaya kwelii
ni wazo zuri mpenzi lakin watu huwa wanakuja kuchunguzana tu wengine sie maskini kweli mtatuzodoa na minguo yetu iliyofubaa
Na tunavyochamba humu jf heeeeee
Hahahahahahah nyie kutaneni sisi tupo huku shambaUsinidondoshe swetieee najua uko bomba ile kichiz hutaki vijana wa jf wakubambie waruhusu mara moja tu sio mbaya hahaaaa
Wapo wazee wa vyupa siwataji wakijumuika mbona hizo fastaaaaaAh kwani umewahi sikia mi maarufu wa kuishia mitini. andaa ndio utaona kitu ila members wengi wahudhurie isiwe tunajikuta watu 3 tutazipeleka wapi
Unda kamati ya maandalizi halafu kila mtu atalazimika ku confirmWapo wazee wa vyupa siwataji wakijumuika mbona hizo fastaaaaa
Tunakutana kidunia dunia bby sio kijeiefu jeiefuAcheni uoga bby..kwan si ndio tunakutana huko huko dunian kila siku
Sio kwamba na sie tumezidi nyodo ndio mana wanajenga taswira kichwani yani mama sabrina atakuwa kisu kinyama hahahaaaa Im just kidingTatizo wanaume wa jf wanadhanigi wanawake wa humu wanatoka sayari ya mars wazuri kama malaika
Naomba uwe mwana kamati mwenzangu unaonaje?Unda kamati ya maandalizi halafu kila mtu atalazimika ku confirm
Utakuta uzi wa "mama sabrina is overrated hana kipya ni wa kawaida sana"Mara "sijaona mwanamke mzuri hata mmoja jf kwenye jf party"
Tegemea nyuzi nyingi sana,mbona zamani ndio ilikuwa hivyo
Avatar fake huwa zinawachanganyaaa tu wala mimi sijionagi mzuri labda kwa wengineSio kwamba na sie tumezidi nyodo ndio mana wanajenga taswira kichwani yani mama sabrina atakuwa kisu kinyama hahahaaaa Im just kiding
Na hzi flatscreen mweeeeee naomba niitulize homeUtakuta uzi wa "mama sabrina is overrated hana kipya ni wa kawaida sana"
Loh yan kutakuwa ni kuchungazana tu uko.
Kupatwa kwa party