Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Walivyokuwa wakitoka kwenye party wanaanza kusemana huyu alikuja ananuka kwapa,huyu vile huyu viatu vimeishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara ka fulan kabaya kwelii
ni wazo zuri mpenzi lakin watu huwa wanakuja kuchunguzana tu wengine sie maskini kweli mtatuzodoa na minguo yetu iliyofubaa
Na tunavyochamba humu jf heeeeee
Usinidondoshe swetieee najua uko bomba ile kichiz hutaki vijana wa jf wakubambie waruhusu mara moja tu sio mbaya hahaaaa
 
Ah kwani umewahi sikia mi maarufu wa kuishia mitini. andaa ndio utaona kitu ila members wengi wahudhurie isiwe tunajikuta watu 3 tutazipeleka wapi
Wapo wazee wa vyupa siwataji wakijumuika mbona hizo fastaaaaa
 
Back
Top Bottom