Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Hahaaa. Ilishawezekana tukakutana watu wanne kwa wakati mmoja naona inatosha ila rundo la watu. Hapana aiseee.

Sababu jf ya sasa sio ile ya zamani na hilo linajulikana.

Davet, ukhuty na Mwifwa wanatosha kwa upande wangu sababu tukikutana kwetu huwa ni zaidi ya Party.
Mtuambie na dress code kabisa sasa
My lovely family member, nikirejea lazima niwatafute
 
Uskonde mpenzi napenda wanaume wanaopenda kukubali mistake zao for real kama upo hivi ktk maisha yako wifi atakuwa anafaidi hataree
hahahahaa [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]
 
Back
Top Bottom