Jamiiforums member's party

Jamiiforums member's party

Napenda kuwashukuru kwa support yenu kwani zaidi ya 90% wameonyesha kuunga mkono wazo langu na leo naanza rasmi jitihada hizi ikiwa ni pamoja na kulirasmisha ktk uongozi wa jf tupate baraka na support yao pia.

Kuna wanadai kutokufika wakihofia mionekano yao naomba niwajibu kwamba;
1/ Jf sio dangulo wala sehemu ya konyesha urembo bali ni Home Of Great thinkers so usitegemee unakuja kumuona Miss Curious utegemee atakuwa kama malaika unajidanganya but utamuona ni nwanamke flani smart kuanzia kuongea mpaka ktk maisha na I wish nihost show coz mimi ni mwanamke ninaye jiamini.
2/ Wanaohofia kutumia bodaboda, daladala na bajaji musijali hakuna mtu atakayeenda kumchunguza mwenzake na hakuna atakayekuwa anasubiria watu parking ili awasodoe .
Kuweni na amani kila kitu kitakuwa sawa na nitatoa updates kupitia uzi huu huu mpaka issue inakamilika sitegemei kuanzisha uzi mwingine kuhusu topic hii.
 
Hakikavitakuw vema zaidi hata kea kila mkoa wapnge wakutane.
 
Rafik kwan ukichat na kufrai ivi kuna shida gan? We chat sanaa furahia ivo ivo mambo zakukutana hapana banaaaaaa
 
Napenda kuwashukuru kwa support yenu kwani zaidi ya 90% wameonyesha kuunga mkono wazo langu na leo naanza rasmi jitihada hizi ikiwa ni pamoja na kulirasmisha ktk uongozi wa jf tupate baraka na support yao pia.

Kuna wanadai kutokufika wakihofia mionekano yao naomba niwajibu kwamba;
1/ Jf sio dangulo wala sehemu ya konyesha urembo bali ni Home Of Great thinkers so usitegemee unakuja kumuona Miss Curious utegemee atakuwa kama malaika unajidanganya but utamuona ni nwanamke flani smart kuanzia kuongea mpaka ktk maisha na I wish nihost show coz mimi ni mwanamke ninaye jiamini.
2/ Wanaohofia kutumia bodaboda, daladala na bajaji musijali hakuna mtu atakayeenda kumchunguza mwenzake na hakuna atakayekuwa anasubiria watu parking ili awasodoe .
Kuweni na amani kila kitu kitakuwa sawa na nitatoa updates kupitia uzi huu huu mpaka issue inakamilika sitegemei kuanzisha uzi mwingine kuhusu topic hii.
Well, Nipoooo
 
Ntakuja na daladala maana hata bodaboda sinaa!!!
 
Back
Top Bottom