M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
kweli kabisa - haya maumbeaumbea yanaishushia sana hadhi JF yetu.Baada ya jamii forums kuwa suspended kwa mda kidogo nimejikuta kuwa mzito kidogo kuingia jf mara kwa mara tofauti na ilivyokuwa awali nadhani sio mm tu hata members kibao siwaoni wakipost tena nahisi wale jamaaa walitutoa ktk mood.
Niende kwenye mada;
Juzi nmekuwa very disappointed baada ya kuingia jf yani kila nikichek new posts nakutana na habari za udaku udaku tu nmefanya hivyo mara kadhaa mara Munalove kafanya hivi, mara Woya kavaa vile, mara sijui Mond kavaa kikuku .
Ni kweli kikatiba kila mtu ana haki ya kujieleza ilimradi tu asivunje sheria ila hayo maudaku sio kwa Great thinkers coz great thinkers always speaks/talk about ideas na weak people talk abt others jf tusifike huko mbona kuna mambo mengi tu ya kuzungumza ambayo yanaweza kumsaidia msomaji sasa mimi ukiniambia habari za Shilole nafaidika vipi?
Ni kweli hatuwezi kuwa serious mda wote but ni kweli pia hatuwezi kumake funy mda wote tuutumie huu mtandao vyema ili hata tuwe proud "ebwana mimi situmii hiyo mitandao yenu ya udaku natumia jf" hata asiyekuwa member akiingia anajua kuwa for real jf is the home of great thinkers sio kuingia tu anakutana na "jamani mademu wa jf ni maharage ya mbeya"
NB
Ni mawazo yangu tu
Siwakatazi na hata nikiwakataza neno langu sio sheria.
the thing is getting into my (probably most other members') neck now!
mods sikilizeni ushauri huu.... siyo lazima mfanye exactly ilivyoshauriwa lakini something similar but effective:
1. posts za umbea, maisha binafsi ya watu, nk ziwe zinawekwa kwenye forums za "chit-chat" na/au "celebrities"
2. hizi forums 2 zisiwe accessible kwa JF members wote - isipokuwa of course kwa wale watakaokuwa wamejisajili huko (I mean link zake ziwepo kwenye menu ya JF lakini lakini ni members waliojiandikisha tu ndiyo wapate access kuingia humo)
3. members hawatakiwi kutuma aina hii ya posts nje ya forums hizo 2. member akitenda kosa la kutuma posts za aina hii kwenye wrong forums zaidi ya mara 1, achukuliwe hatua stahiki na mods.