Jamiiforum's members tubadilikeni

kweli kabisa - haya maumbeaumbea yanaishushia sana hadhi JF yetu.
the thing is getting into my (probably most other members') neck now!

mods sikilizeni ushauri huu.... siyo lazima mfanye exactly ilivyoshauriwa lakini something similar but effective:

1. posts za umbea, maisha binafsi ya watu, nk ziwe zinawekwa kwenye forums za "chit-chat" na/au "celebrities"

2. hizi forums 2 zisiwe accessible kwa JF members wote - isipokuwa of course kwa wale watakaokuwa wamejisajili huko (I mean link zake ziwepo kwenye menu ya JF lakini lakini ni members waliojiandikisha tu ndiyo wapate access kuingia humo)

3. members hawatakiwi kutuma aina hii ya posts nje ya forums hizo 2. member akitenda kosa la kutuma posts za aina hii kwenye wrong forums zaidi ya mara 1, achukuliwe hatua stahiki na mods.
 
huu nahisi ni uongo,jukwaa la celebrities haliko kwenye ku refresh page/new posts
 
Ni muhimu sana kujifunza kuishi na watu wa hulka zote, otherwise utakuja kupata kiharusi.

Siku hizi hata huko siasani kuna udaku, umbea na uzandiki mkubwa tu. Jifunze tu kuishi na watu, hutaumiza kichwa.
 


Kongole kwa uelewa huo mkuu
 
Well said
 
Ni muhimu sana kujifunza kuishi na watu wa hulka zote, otherwise utakuja kupata kiharusi.

Siku hizi hata huko siasani kuna udaku, umbea na uzandiki mkubwa tu. Jifunze tu kuishi na watu, hutaumiza kichwa.

Nikipata kiharudi mkuu ww utapata kimsiba
 
Jamii Forums Kuna Majukwaa Mengi Sana, Na Kila Jukwaa Lina Maudhui Yake.!

Ukiona Hapa Hapakufai Nenda Pale, So Simple!
Ni kweli ndio maana hauwezi kumkuta mwanakijiji nje ya Jukwaa la siasa au Warumi Nje ya jukwaa la celebrities au Chief Mkwawa nje ya jukwaa la teqnolijies,kwa kutambua hivyo Viongozi wa jF wakaweka majukwaa tofauti.
 
Kusoma habari au post kwenye jukwaa fulani ni interest yako sio lazima ulazimishwe,mbona kuna habari nyingi tu nazipita bila kuzifungua

Pia kuweka au kujadili madhaifu ya mtu ni njia mojawapo ya kujifunza kwa mtu mwingine

Uboya wa mtu ndio marekebisho ya mtu mwingine

Mtu hujifunza kwa mtu mwingine mabaya au mazuri
 
Nahisi hamjagungua tatizo. Kwa uelewa wangu naona tatizo lipo katika mada. Mada zenye mashiko hayo ambayo zinaitwa za kigreat thinker zimepungua sana tofauti na kipindi chchote cha nyuma ( kuna sababu kwa hili; sheria za mtandao, woga na moderators being moderators). Hii inapelekea mada za Jamii Intelligence kuwa chache tena zenye mlengo wa dini tu. Huku kule siasani mada ni zilezile sura zilezile reply ni zilezile za kuitana nyumbu. Hivyo, mada za MMU, Celebrity, ChitChat zinaonekana in nyingi lakini jibu in kuwa zile nyingine zimepungua.
Nb
Siyo wote wanauwezo wa uandishi mzuri ktk majukwaa ya serious topic hivyo ukimwambia mtu si upost wewe...inakuwa haijasaidia bado
 
Ukishindwa kuishi na watu kwa kuvulia vile ambavyo hauvipendi utajikuta unakasirika kila muda.

Jifunze kupuuza vile ambavyo unahisi sio level yako au havikufai.

Jifunze pia kukubali vile ambavyo hauwezi kuvibadilisha kwa wakati husika.
he he he..beaut with brain .... Castr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…