JamiiForums naomba mnipokee

kwamba unataka kutuambia kuwa hii picha ya kwanza na ya pili ni ya watu wawili tofauti, kwamba mmoja ni msouth na mwingine ni mbongo wa masaki, maana hiyo picha ya pili ndio uliopost ukisema ni wewe na hiyo picha ya kwanza inaonyesha kabisa ni post ya kizulu
 
we sio mpya kabisaa umetuekea embe dodo limenona ili mate yatutoke

asee umetukosa hasa mimi umenikosa

Bora hata salma alituwekea ka dada ka kawaida ila wewe

unaonekana mzeee wa Mission

Nimejiandikia tu kwa hasira nakuja PM lydia
Ahahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…