JamiiForums naomba mnipokee

JamiiForums naomba mnipokee

Apo wapi
IMG_20191027_123948_965.jpeg
 
Acheni uongo na uzandiki wapuuzi msijua vitu mimi nimtanzania na na sina akaunt instagram na facebook akaunti yangu ina miaka 5 huyo mdada simjui na wala sio mimi
....account yangu ni fb tu na anaesema ni muafrika kusini tuangalia account hii na picha hizi View attachment 1246182View attachment 1246183View attachment 1246184
kwamba unataka kutuambia kuwa hii picha ya kwanza na ya pili ni ya watu wawili tofauti, kwamba mmoja ni msouth na mwingine ni mbongo wa masaki, maana hiyo picha ya pili ndio uliopost ukisema ni wewe na hiyo picha ya kwanza inaonyesha kabisa ni post ya kizulu
tapatalk_1572197101615.jpeg
tapatalk_1572197130662.jpeg
 
we sio mpya kabisaa umetuekea embe dodo limenona ili mate yatutoke

asee umetukosa hasa mimi umenikosa

Bora hata salma alituwekea ka dada ka kawaida ila wewe

unaonekana mzeee wa Mission

Nimejiandikia tu kwa hasira nakuja PM lydia
Ahahaaaaaaa
 
Back
Top Bottom