Jamiiforums ni kuzuri

Jamiiforums ni kuzuri

karibu sana hapa kwenye kisima cha hekima-JF.................
 
Jaman wana mmu mie nmgeni humu sio mbaya hata mki ni pm sio mbaya na mm nijue maana ya pm.....pia nmekua nikivutiwa na post nyingi na jinsi mnavokoment

Jinsia ke halafu unaomba PM? Bora hata ungeomba AM.
 
Back
Top Bottom