Atakuwa Afande Bashite huyu siyo bureUnataka tusombwe mzobe mzobe na vyombo vya dola sio????
Sio bure mkuu atakuwa katumwa huyu ila watukamate mtegoni kwa wingiAtakuwa Afande Bashite huyu siyo bure
KabisaSio bure mkuu atakuwa katumwa huyu ila watukamate mtegoni kwa wingi
hebu wambie yan watu wanaishi kwa mashaka polis watudake kisa nnkwa nini tuwe na wasiwasi,mie ninaafiki hilo wazo kama unachangia ukweli hauna haja ya kuwa na woga,watanzania bana kweli sisi ni makondoo,sorry sio kuwa sina heshima ila kitu kidogo tunaogopa vivuli vyetu.
Nimependa wazo lako naunga mkonoHabari wakuu,
Jamani hivi kwanini tusiandae ki event flani hivi wana JF twende tufahamiane vizuri hata bila kutambulishana ID zetu za JF ingekuwa poa tufahamiane freshi wadau ni mawazo tu.
ina faida wewe sa iv ukifa nan atajua humu ndan
sio wote kaka