Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupia picha yako kwanza kama umejipanga na Party (pareeh)Habari wakuu,
Jamani hivi kwanini tusiandae ki event flani hivi wana JF twende tufahamiane vizuri hata bila kutambulishana ID zetu za JF ingekuwa poa tufahamiane freshi wadau ni mawazo tu.