JamiiForums' Person of the Year 2016

Mello bwana bila kukomaa saa hizi tungekuwa tunanyea debe. ?ijui wangeandaa madebe mangapi/
 
Nakuona nakuona!

Heri ya Mwaka Mpya Mtani!

Mwambie The bold amalizie ile story bana, Jumamosi mbali sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji12] usijali jirani,kwakuwa ombi lako limepitia kwangu litafanyiwa kazi ASAP.
Nitamuambia atuwekee j5 na j1.
Au unaonaje?

Heri ya mwaka mpya iwe kwako pia,asante sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji12] usijali jirani,kwakuwa ombi lako limepitia kwangu litafanyiwa kazi ASAP.
Nitamuambia atuwekee j5 na j1.
Au unaonaje?

Heri ya mwaka mpya iwe kwako pia,asante sana.

Nashukuru Mungu tumeuona mwaka, tuendelee kumwomba Mungu neema zake tu.

Asante sana, kusubiri story tamu ni issue aisee, ila hakuna namna, tutasubiri tu.
 
Nashukuru tumepoa. Bibi was around 90 amepumzika.
duh! amekula age! nafikiri umetoka na vitu kutoka kwake i mean umejifunza mengi kupitia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…