Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! pole sanaNipo nilifiwa na mama mzazi ndo maana nimepotea.
n
[emoji23] [emoji23] [emoji12] usijali jirani,kwakuwa ombi lako limepitia kwangu litafanyiwa kazi ASAP.Nakuona nakuona!
Heri ya Mwaka Mpya Mtani!
Mwambie The bold amalizie ile story bana, Jumamosi mbali sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji12] usijali jirani,kwakuwa ombi lako limepitia kwangu litafanyiwa kazi ASAP.
Nitamuambia atuwekee j5 na j1.
Au unaonaje?
Heri ya mwaka mpya iwe kwako pia,asante sana.
Nashukuru tumepoa. Bibi was around 90 amepumzika.duh! pole sana
Nashukuru sana tumeshapoa.Pole sana niah
duh! amekula age! nafikiri umetoka na vitu kutoka kwake i mean umejifunza mengi kupitia kwake.Nashukuru tumepoa. Bibi was around 90 amepumzika.