JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

ukibondwa usiniite!
mi nimeacha kubeba vyuma siku hizi!
ha haaa, ntakusemea kwa mama k....
yaani kuteseka kote kule kukupeleka judo ili uwe mlinzi wa familia halafu leo ndo uniruke!
mzee k hatakusamehe aisee
 
Hongereni wana shinyanga. Hakika ni kazi nzuri kuitambulisha JF kwa watanzania wafahamu jukwaa la kusemea angalao serikali itawasikia. Itapendeza kama kila mkowa watajitahidi kufanya hivyo. Pongezi kwa JF Arusha na Korogwe, nafikiri hata hawa to some extent wanafahamiana. Ila iwe kwa JF kujitangaza rasmi maana kwa sasa wako formally registered. Maxcence Melo, Invisible kazi kwenu.
 
Karibu maeneo ya shycom.. (Joke)!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Asante.

Nami napatikana NGOKOLO maeneo ya ROYAL TEN Hotel.
 
Asante.

Nami napatikana NGOKOLO maeneo ya ROYAL TEN Hotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…