sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
kumbe hadi shy town wapo?
Karibu majengo bro
sexologist, lol!
hata kama ni m-shy wing sijitokezi........ (just joking, usiichukulie personal, sawa?)
ha haaa, ntakusemea kwa mama k....ukibondwa usiniite!
mi nimeacha kubeba vyuma siku hizi!
Karibu ibinzamata,near new bus stand!
Buhangija in da haus