JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Hahahah jamani, kwakweli nimecheka hata nimeshindwa kutoa povu.
 
Mh siri yangu,kwa Leo acha nicheke tu hahahaha. Yaan umesababisha nicheke hadi chozi, mweh! Kweli jf raha sana.
Teh
Haya bwana kwa kesho uje unieleze bas
 
Mimi nachukia kuita timu yangu ya Simba wa (matopeni).
 
povu lingne...sifia chama cha kijani kile
 
Wanaxema fb maburudan lkn jf ndo kiboko hahahahahahahaha....
 
Wambie chadema lowasa ni fisad na inatakiwa afungwe maisha hapo ndo utajua njano na nyekundu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…