mukulu binadamu
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 116
- 74
Uwaseme akina mario.watakuja na povu la kudekia hall
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana Daby ni muongo?Wapya??? Dah ntaanzia wapi?? Zile pincode zako ulizoacha si ntanata...unajifanya umesahau??
unazingua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamani naombeni idea ya harufu ya pumbu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]fact onlyTafuta linalonuka ukanuse [emoji57][emoji57]
Mh siri yangu,kwa Leo acha nicheke tu hahahaha. Yaan umesababisha nicheke hadi chozi, mweh! Kweli jf raha sana.Ulitaka kutoa la nini nsamaka?
Mimi nachukia kuita timu yangu ya Simba wa (matopeni).1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la nguo zingine pia. Na wanaenda mbali kwa wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D zingine za hiyo kazi ya kuzalisha povu .
2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali: HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa zangu wengi wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla. Wajanjaaa balaa.
3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake wote bila kujali maumbona umri huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala wa jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hali hii hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, na ukijibiwa basi tusi.
4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu..hahaha . hapa wanaume huwa na visingizio kibao.. mara ooh mara Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi. Mara utaskia mimi nina nchi 7 kumbe ana 2.5.. sasa sijui mwenye kibamia nani...
Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ?? Karibuni ukihisi kumwaga povu uje ulimwage humu ndani [emoji16][emoji16]
povu lingne...sifia chama cha kijani kile1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la nguo zingine pia. Na wanaenda mbali kwa wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D zingine za hiyo kazi ya kuzalisha povu .
2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali: HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa zangu wengi wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla. Wajanjaaa balaa.
3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake wote bila kujali maumbona umri huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala wa jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hali hii hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, na ukijibiwa basi tusi.
4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu..hahaha . hapa wanaume huwa na visingizio kibao.. mara ooh mara Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi. Mara utaskia mimi nina nchi 7 kumbe ana 2.5.. sasa sijui mwenye kibamia nani...
Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ?? Karibuni ukihisi kumwaga povu uje ulimwage humu ndani [emoji16][emoji16]
Hapo povu lake si ya nchi hii!!Wambie chadema lowasa ni fisad na inatakiwa afungwe maisha hapo ndo utajua njano na nyekundu
Post sent using JamiiForums mobile app