JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Waseme vibaya single mothers hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na nguo zingine. Na wanaenda mbali wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D za hiyo kazi ya kuzalisha povu
Ila sio siri single mothers wanakuaga na hasiraa hata mtaani wako hivihivi sio humu tu
 
Waseme chadema hasa ukigusia Swala la ruzuku. Utachekea chooni si kwa hilo povu.
 
Hahahaha!!

Povu ni nini?

Povu ni pale unapokuwa na demu ghetto akaanza kumugegeda kwa muda mrefu hivi yaani kama dakika 45 hivi papuchi huwa inaanza kutoa povu.

Napita Tu
 
Hawa jamaa nao wanaunganaga haraka hapo bila kujali kina delicious na kina chief engineer [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Checking...100%
Network searching...0%

Network failed!
Near by Number one Mbeya.
[emoji56][emoji56][emoji56]
 
Emoji ya povu [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
3c8ae0e62d3d369dcb45af34e07e7dae.jpg
 
Back
Top Bottom