Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Non of my business I can say in other wordsI thought "non"..
Then, how less are you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Non of my business I can say in other wordsI thought "non"..
Then, how less are you?
Mmmhhhh mbona uzi wako nao wanuka ndomo1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la nguo zingine pia. Na wanaenda mbali kwa wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D zingine za hiyo kazi ya kuzalisha povu .
2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali: HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa zangu wengi wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla. Wajanjaaa balaa.
3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake wote bila kujali maumbona umri huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala wa jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hali hii hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, na ukijibiwa basi tusi.
4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu..hahaha . hapa wanaume huwa na visingizio kibao.. mara ooh mara Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi. Mara utaskia mimi nina nchi 7 kumbe ana 2.5.. sasa sijui mwenye kibamia nani...
Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ?? Karibuni ukihisi kumwaga povu uje ulimwage humu ndani [emoji16][emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Husna alishaniacha siku nyingi. Wifi yako anakusalimia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah Nilikuwa bored nimecheka balaa1. Waseme vibaya single mothers:: hili povu utafulia chupi..vitambaa vya meza.. blanket kwa wale wanaoishi sehemu za baridi..mapazia ya vyumba vyote.. na hata la kusafishia vyoo litabaki na la nguo zingine pia. Na wanaenda mbali kwa wale wakongwe wanalog off halafu wanakuja na I'D zingine za hiyo kazi ya kuzalisha povu .
2. Ita wanaume wavulana au wanaume suruali: HAHAhaha hapa ndipo pale jamaa zangu wengi wanachukulia Ban nyingi kwa Cookie na Paw na hapa kila mwanaume anakuwa na pesa na maisha mazuri gafla. Wajanjaaa balaa.
3. Sema wanawake wananuka UCHI...hapa ndipo pale wanawake wote bila kujali maumbona umri huungana na kuwa kitu kimoja gafla sio wa MMU siasa wala wa jukwaa la wakubwa. kwa wale wajanjaa kama mimi tukishaona hali hii hata pm zao kwa siku hiyo hatuingii maana hautajibiwa, na ukijibiwa basi tusi.
4. Diss vibamia au sema wanaume wananuka pumbu..hahaha . hapa wanaume huwa na visingizio kibao.. mara ooh mara Mwanaume hasifiwi usafi anasifiwa kazi. Mara utaskia mimi nina nchi 7 kumbe ana 2.5.. sasa sijui mwenye kibamia nani...
Huwa mnaguswa wapi aseeeh? ?? Karibuni ukihisi kumwaga povu uje ulimwage humu ndani [emoji16][emoji16]
Nimecheka pia tena kwa sauti kubwaMbona unachekesha viemoj lakini wewe haucheki?
Hahahahahaa Alilipendekeza yeye mwenyeweMmmh.. wewe ! Mama p? Huko kuibiana majina sasa
Asante mkuuPrincess!
Hongera saana aseeh.