JamiiForums Usiku wa manane

Aiseeee
Hizo babo gum werevaa huleta njaa sanaaa ujue....
hahahaa
kwani minlikuwa najua hizo

nlikuwa naweza kula karanga, azam icecream, choklate, mchana nikapiga ubwabwa wa kutosha
sasa ukimaliza na ka pepsi siku ndio ina isha isha. saa kumi na moja tuu jion jion ka njaa ka usiku kana anza [emoji23].
 
Mmmmh
Kumbe wewe ndo unakuza uchumi eeeh
 
Acha nicheke tuu maana nimeshindwa kujizuia, hivi huo ni ulaji gani nimejaribu kufanya imagination imekataa
hahahah
Ney nenda hospital sku moja mwambie dokta unapata vidonda sanaa vya mdomoni

lazima ataku recommend kula kdogo kabla ya kuchek kitu chochote
ila nliambiwa niwe nakula sana na matunda na vngne nime sahau sahau
 
Ko sio vidonda vya kujikula eeh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…