JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha
Yaani nimemmiss kweeeli... Sikutegemea ka atapotea hivi jamani
yaan
aliniuma supermarkt hadi bas yaan

halaf aligoma kabsa kuniaga privately.

nilimtafuta six times, nilimwandikia brother come back say something then you can go, lakini hakuja alitokea kwenye uzi tu na kusema nisiwe na was was he is safe.

i hope sku moja ata kuja. i hope lakin
 
Mwenzangu alipatwa na nini lakini...

Kwamba hauko na contact zakee amaa... Aliaga kwenye uzi, mie nikajua ni suala la mwezi au miwili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…