JamiiForums Usiku wa manane

Ma traffic wenu yaani wananjaa. Mmijitu unaifahamisha lakini hailewi. Inabaki kukupotezea mda
Nfivyo walivyo. Wanakupotezea muda. Kukwandikia faini hawataki wala kupokea rushwa hawataki! Sijui wanataka nini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…