regnard magari
Senior Member
- Jan 5, 2015
- 146
- 174
pole!!!Leo bando linakata basi Natumia voda net inasumbua balaa nilishazoea airtel yangu
Muwe na lindo jemaaa nitawamiss sana
Mwifwa Thad HB wa kigogo
Na wengine mm nalala jaman japo ninaumwa kiuno hatar
Unakwenda wapi mpz wangu[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Bado vipi una dawa, unitibu?Wewe moyo wako ushapona kale kaugonjwa cha kuzimikia mtu?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaani nimesoma comment zako damu imewaka moto sana, kwa nini unatufanyia uchochezi kiasi hicho?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani baada tu ya kufyeka msitu kiuno kinauma?Leo bando linakata basi Natumia voda net inasumbua balaa nilishazoea airtel yangu
Muwe na lindo jemaaa nitawamiss sana
Mwifwa Thad HB wa kigogo
Na wengine mm nalala jaman japo ninaumwa kiuno hatar
Fuata nyuki ule asali!Unakwenda wapi mpz wangu
Kichwa Kichafu umemwacha wapi?Popooooz
Nafungua geti
Mbona umechangamka hivyo mwenzetu wknd hii imekutendea nini?[emoji23] [emoji23]Wooyoo woyo woyoooo
Nakuona wee [emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji758] nakuona!Fuata nyuki ule asali!
Mbona nota tu, weka na sauti/maneno tuburudike hapa[emoji445][emoji445]
Fuata nyuki ule asali!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniona wapi mimi?Nakuona wee [emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji758] nakuona!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha kuwa wahenga walikosea ama?Unaweza kufuata asali ukaliwa na nyuki.
Kumbuka kuchukua tahadhari[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha kuwa wahenga walikosea ama?
Hatari ya nini tena, mbona wanitisha?Hatari saaana
Uko geti lipi?[emoji445][emoji445]