[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu njoo umsikilize yaani anakoroma hadi anajiramba [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] seems ana dhambi kubwa anajiandaa kunifanyia huyu
Kukujibu nini tena best?We mbn hutak kunijb
Naomba nikupe nafasi kama we ni meSiku nyingine tafuta msaidizi...
Huu muda ndio una mambo matamu sana...Maandishi yakija huku yanakuwa bold halafu yana marinda. Una mwandiko mzuri sana usiku wa manane Mwifwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha niliambiwa nipake limao ndo dawa jaman nimekomajee
Eti upara mbn mateso Sana haya jaman
Utahudhuria?Nawakumbusha kesho ibada kwa wale wakristu...msijisahau kukesha huku mkeshe kwa bwana pia
Wachawi wa JF ni wengi kabisa, ebu muwaloge watu wasiojulikana bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu mwandiko atakuwa alianza kuutumia darasa la tano
Mie ni me. Nitumie picha niangalie ili nijue ukubwa wa kazi kabla sijakubaliNaomba nikupe nafasi kama we ni me
Ongezapo chumviHahaha niliambiwa nipake limao ndo dawa jaman nimekomajee
Eti upara mbn mateso Sana haya jaman
Wengine wakiwa Single hawahangaiki na mambo hayoKabisa haya mateso nayapata nikiwa single sitaweza kuvumilia Hali kama hiii
Unanicheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AhsanteeeePolee sana umeshalewa
Hahahahaha naona udendaaa unavyokutokaMie ni me. Nitumie picha niangalie ili nijue ukubwa wa kazi kabla sijakubali
Na pilipili Hupendi kitumbua changu weweOngezapo chumvi
Ndio Na Wewe ni me au keKukujibu nini tena best?
Au unataka nikuelekeze na wewe dawa ya hicho kijipu uchungu cha "jileti"
Nacheka jinsi ulivyodanganywa upake ile dawa..Unanicheka
Sandarusi itawahusu bahariniWachawi wa JF ni wengi kabisa, ebu muwaloge watu wasiojulikana bana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humjui bibi Thad eeehhh..Ndio Na Wewe ni me au ke
Ha ha ha ...Hahahahaha naona udendaaa unavyokutoka