JamiiForums Usiku wa manane

Habari.

Haya wote kusanyikeni niwafanyie maombi.
Nitavunja nguvu zote za shetani, za kukosa ajira, za kukesha kwenye mitandao ya ngono, za kutoolewa, za kutokuoa, za kutofanikiwa.

Mawazo ya ngono muda wote,
Matusi hayashi mdomoni.
Pesa ukiishika haikai.
Ma mengine mengi.

Uzuri huduma hii ni bure na hakuna kutoa sadaka.

Uki like maana yake umeingia kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…