JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu me nimekaa tu, napanda kitandani hakulaliki, nimejaribu kulala kwa kiti napo naona km pana moto, nimetandika nguo chini napo tabu, imenibidi nifungue mlango nikae nnje, yaani sijapata usingizi hata kidogo mpaka muda huu,

Nafikiri kutoa nguo walau nifue nimalizie masaa yalobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…