JamiiForums Usiku wa manane

Kavuu Tuuu
Hongera. Mimi sipendagi Amarula na vinywaji vya jamii yake. Basi siku naenda kwa bf eti akaninunulia amarula yeye kajinunulia Smirnoff Vodka. Kufika nisimfanye ajisikie vibaya nikasema ngoja tu ninywe. Nikamix na ile Smirnoff yake. Nikanogewa bwana. Kesho yake nikafanya tena hivyo. Nilirudisha chenchi sio kawaida. Kuanzia hapo sitaki tena Amarula wala Zanz wala Strawberry lips.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…