JamiiForums Usiku wa manane

Napenda Sana Smirnoff Aithee Ipo Poa Ile Mbaya

Kurudisha Chenji Hukuwa Umezoea Chemistry Ya Ivyo Vinywaji

Jaribu Siku Ku Mix Bapa Na Dompo Ila Hakikisha Bf Yupo Mana Zinaweza Kukupanda
 
Napenda Sana Smirnoff Aithee Ipo Poa Ile Mbaya

Kurudisha Chenji Hukuwa Umezoea Chemistry Ya Ivyo Vinywaji

Jaribu Siku Ku Mix Bapa Na Dompo Ila Hakikisha Bf Yupo Mana Zinaweza Kukupanda
Dompo nilikuaga namix na grants au JD. Nilikua na mkaka ananipenda halafu akawa anajua napenda kunywa. Basi kila siku ananiletea dompo mbili. Yule ndo alinifanya nichukie dompo nahisi. Dompo tamu sana. Wine tamu zimenishinda kabisa. Dompo sasa hiv bila kumix na pombe kali na maji siwez kunywa kabisa.
 
Sasa hivi una kunywa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…