JamiiForums Usiku wa manane

Bila shaka vijana mmepitia hatua hii labda wale wa seminari....

Hahahahahahaa

Ni ile kusema kesho lazima nimuibukie mtoto, kesho ikifika na ukikutana naye unaishiwa point na kuishia kujing'ata vidole.

Ukienda kuwaeleza washikaji zako wanaanza kukushushia maneno na hapo unajikaza na kujiapiza kuwa siku inayofuata lazima umalize mchezo, kibaya zaidi hali inabaki vile vile.

Mwishowe wanakuchukua kwa nguvu na kukupeleka kabisa
 
Hivi kinachowafanya muogope ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…