Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
Ewaaaah,basi tuko sambamba mm nawapenda hao,hivo vikongwe nawaacha kama walivyo[emoji85]Haina maana zaidi ya hicho unachokiona kwenye picha hasa hiyo ya watu wanaopigiana gitaa....
Tatizo watu wengi huwa wanaishia kuona sura za vikongwe tu!
Babu hujazeeka main nije kukupa kampany ya ulinzi hapoOhhhooooo.....
Nilikimbia kuangalia kidogo, maana nilisikia kama unyayo...[emoji13] [emoji13]
Mkuu...
Hii zawad nataka tugawane na Mumu
Halafu nyie mko kumoja eeeeh?Babu angalia wez wasije kukuharibia kazi hapo uwe unapepesa macho getini
Ohhhooooo.....
Nilikimbia kuangalia kidogo, maana nilisikia kama unyayo...[emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaEwaaaah,basi tuko sambamba mm nawapenda hao,hivo vikongwe nawaacha kama walivyo[emoji85]
Mbuzi kafia kwa muuza supu [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji39]Babu hujazeeka main nije kukupa kampany ya ulinzi hapo
Mkuu...
Ona sasa umesababisha mnara umeanza kusoma 4G....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ebu ngoja ni [emoji125] [emoji125]
Mkuu....Halafu nyie mko kumoja eeeeh?
Vp mshawahi kukutana hapo carnival kwaajili ya kugonga cheers?
Ebu fanya kumuelekezea huku kibla aiseeee....[emoji12] [emoji12]Mbuzi kafia kwa muuza supu [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji39]
Kama alivyo mfanyia yule baba mwalimu wa chuo flani.....[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] unaogopa kuchonganishwa au unaogopwa kuanikwa hapa kesho maana Demiss sio wa sport sport etii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] panda bodaboda mpaka Kagongwa,shukia hapo Nyakanazi kisha kata kushoto kuelekea Kinguryiabashashi utakuwa umefika!Mkuu....
Ebu ukuje kule PM inielekeze mitaa yake huku Ushirombo...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Maana naweza nikaota embe chini ya mchenza
tehteehh......[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] panda bodaboda mpaka Kagongwa,shukia hapo Nyakanazi kisha kata kushoto kuelekea Kinguryiabashashi utakuwa umefika!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona utakavyoanikwa live na hayo mapengo yako [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kama alivyo mfanyia yule baba mwalimu wa chuo flani.....[emoji13] [emoji13]
Hahahahaha.... huyu bidada nilimchoka wallah
Kweli umenichoka aiseeee..... bora nikugawe tu kwakweli.... tehteehh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona utakavyoanikwa live na hayo mapengo yako [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Kila la heri, majibu yaambatane tu bakshishi yangutehteehh......[emoji12] [emoji12]
Asante kwa msaada wako mkuu, kesho tu nakuletea majibu hapa
Utanigawa kwa nani mie, hata bure hawanitaki [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kweli umenichoka aiseeee..... bora nikugawe tu kwakweli.... tehteehh
Nilipanga nikugawe kwa Yesu, lakini ngoja nisubiri kwanza hadi siku atakapo rudi...[emoji13] [emoji13]Utanigawa kwa nani mie, hata bure hawanitaki [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Oooh! Kwa Yesu sawa,nilidhani unataka unigawe kwa hawa wanabongo daresalamNilipanga nikugawe kwa Yesu, lakini ngoja nisubiri kwanza hadi siku atakapo rudi...[emoji13] [emoji13]