Sawa wewe huwa nakuamini, naweka kwenye rekodi.Eeeh hakuwahi kukusaliti hata. Sema tu alikuwa mwema sana kwa kila mtu, sasa sijui kama wema wake ulikuwa wema kweli au alikuwa na ajenda ya siri...[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Good nytWivu tu
Kwaherin bhana
We malizana na ndugu yangu maana jirani atakujaUsiondoke bwana,bado tunakuhitaji
Weee whatsapp ni ushahidi tosha....
Nitahakikisha siachi alama yoyote ya ushahidi ili likitokea lolote nimruke futi mia
HahahahHizo zingine azifiche wapi au TRA? Hahaha
Hahahahahah usiku wa makumi kumiSaa nane imeshafika, ruksa kupumzika vinginevyo tutabadili heading isomeke usiku wa matisa
We nae mdukuziNaona mwaitana kwenda kulala....
Haya bwana
Hahaha
Halaf ni shemeji itakuwa siyo poa.
Nlikuwa namueka kwenye list incase kuna chance
Lakini kwa kuwa asha kuwa shemeji basi ntamuheshim
Namfaham vizuri ila heri unavyomkumbusha [emoji23] [emoji23]Thad mpole sana, mtulivu na mnyenyekevu mno. Sitatolea maelezo sana ila hayo ni kwa uchache tu...nilisahau, ni msikivu pia.
Asante kwa ushauri wako rafiki, mtu mwenyewe anaonekana anampenda kuliko anavyoipenda nafsi yake...Ahhh! Utamrukaje sasa wakati unapomaliza kumwambia atakua ameshakutengua miguu na kiuono? Utaweza kukimbia? Stay away from troubles if you can, it doesn't mean you are weak!! Sawa rafiki?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Kwa sifa zote hizi ulizonimwagia, leo nitasinzia nimetabasamu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji39] [emoji134]We nae mdukuzi
HahahahaAfadhali mkuu, usituletee mambo ya sholo mwamba sijui msaga sumu?
Atakuja unafahamu vizuri amebanwa hivi karibu na shughuli ila atakujaOfkoz na mimi nikimyacha kwenye kiji haki cha kutatanisha.
Yaan namsubiri tuonane tuu.
Asante kwa ushauri wako rafiki, mtu mwenyewe anaonekana anampenda kuliko anavyoipenda nafsi yake...
Hahahaha
Si mbaya nimesha tambulishwa huyu ashakuwa ndugu yangu.
Mi kama eskide ushemeji upo