[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] without bailNa wewe Ney sio sie tunakausha makoo hapa na kukomaa vidole alafu kesho na keshokutwa tena ulete huu upupu. Tutakusweka ndani bila dhamana. Hapa naongea tu ila kwa wanaume inatuumiza sana hii kitu. Katika watu wooooote, ukaona umuite Jose Baby, seriously? Binadamu tunakosea jitahidi hili kosa lisijirudie.
NdioooKapumzike kesi imebaki kwa wenyewe tu chumbaniiiii
[emoji120]Bwana akuwezeshe. Enenda kwa amani ya Kristo
There goes my baby [emoji4]I have nothing to say baby,
Najiskia kulia kwa furaha.
Mungu akubariki iceman wangu, nakupenda sana mpenzi wangu.
Ulale salama. Na ugua pole pia, ntakuja kukuona asubuhi.
Usiku mwema.
Poa poa umesimama vizuri ndo udume huu.Braza nsha msamehe asilale mtu na kinyongo.
Kama hivi naumwa hata kesho nsipo amka i could say i will go in peace kabsa
Thante, dada msuluhishi, naona case imeisha japo sijui imeanzia wapi, ila imefika mwshoPoleeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji102]
Nasikis anakaa huko marekaniNdio nani huyo?
Nitatumia kila mbinu kukutetea mteja wangu nipo tayari hata nifungwe mimi[emoji23]Kuna muamala nilimtumia, akavunga eti hela ndogo, nimuongezee na ya kutolea. Nikawapigia voda nimekosea namba, ndio bado anagombana na wakala. Kanifungulia kesi huku, Kichwa Kichafu wakili msomi amejitolea kunitetea
I knew you will come when everything is over[emoji102]
Guys tume maliza
Japo Ney ana tim yake hiyo khaa! Yaan she is popular than me.
Nime msamehe yameisha nashukuru kwa yyte alo nsapot.
Alo kuwa ana nipinga atashukuriwa na keypad zake.
Kasisi au paroko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana akuwezeshe. Enenda kwa amani ya Kristo
Kaka[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Tukutane kizimbani nimekwisha tafuta suti modal sitaki utani kabisa na hili[emoji23] [emoji23]Yaani kwa huyo wakili wako kesi imewashinda tayari.
Wakili tapeli huyo
Kichwa Kichafu,dogo utapeli hujaacha tu?
Ndio,na ajabu hakuna hata Anae nishukuru.Thante, dada msuluhishi, naona case imeisha japo sijui imeanzia wapi, ila imefika mwsho
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe Ney sio sie tunakausha makoo hapa na kukomaa vidole alafu kesho na keshokutwa tena ulete huu upupu. Tutakusweka ndani bila dhamana. Hapa naongea tu ila kwa wanaume inatuumiza sana hii kitu. Katika watu wooooote, ukaona umuite Jose Baby, seriously? Binadamu tunakosea jitahidi hili kosa lisijirudie.