5TJ267TZBUNDI Imethibitiswa TSh 100,000.00/= imetumwa kwa 07675456674-Thad tarehe 12/3/2018 saa 1.05 A.M. Salio lako la M-Pesa ni TSh 1000.00/=Ohoooo kweli dunia duara
KK anaviziwa na mumu
mumu anaviziwa na Mwifwa
Mwifwa anaviziwa na carba
carba anaviziwa na KK
KK anamilikiwa na jje's
Je, tuko wangapi? TULIZANA [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mwalimu wako ntele... WapiOhoooo kweli dunia duara
KK anaviziwa na mumu
mumu anaviziwa na Mwifwa
Mwifwa anaviziwa na carba
carba anaviziwa na KK
KK anamilikiwa na jje's
Je, tuko wangapi? TULIZANA [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Nimekuita kule bhanaBoss boss nipo. Bado sijaunyaka vyema mkuu
HahahaBasi karibu tena.
Hii tabia mbaya sitarudia tena[emoji4][emoji4]
Utajuta na kutengua kauli mapemaBora mchina mweusi mzee wa ikwiriri kuliko wewe[emoji23][emoji23]
Umenifatia nini huku? Si nimekuachia Samaritan wako lakini? Au unataka na sisi tutengeneze network? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hiyo network balaa ndio maana sitaki kabisa ukaribu na wewe
Vipo vingi vizuri kwa ajili yako nikitaja vyote na Imani utakaa hadi kesho kutwa. Sema nianzie wapi
Uuweze mara ngapi best? Ndo basi tenaDuuh!!
Nimeshindwa mie.
Huu mzunguko siuwezi[emoji23][emoji23]
Lete mpya basiMissing you much more [emoji8]
Kesi ndio zinanikimbia [emoji23]Hahaha
Halaf mtu mwenyewe ni KK anapenda kukimbia kesi acha tu
Hahahaaaa.Uje na sindano na uzi wa blue[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nitakusaidia kushona.
Hawa mbu wote wamelewa maana kisusio changu kimejaa Red Label [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii network ya humu unawezajikuta uko baba na mwana mko kwenye chain mojaNimeona kuna mtu anakuvizia hapo nimejikuta naghaili
Nani kasema kuna haki imepoteaPole mamy, usikubali kushindwa pigania haki yako
Lete mpya basi
Umeanza [emoji6]Team fisi katika ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa.
Hapo hamna cha sindano wala nini damu yangu hainyweki kabisa
Kwa huyu ni bora tu ungekomaa na MwifwaTeam fisi katika ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikadukue notification zangu sikuonaNimekuita kule bhana
Jicho na sikio langu havijawahi kunidanganya....amini maneno yanguWee
Hadi mumu ana husika hapo!?
Unamuonea tuu mumu
[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Utajuta na kutengua kauli mapema