JamiiForums Usiku wa manane

Nimefanya kosa la kijinga sana ndio maana na kosa usingizi daaah
Kuna mdada alikuwa ananitega sana tangu nihamie mtaani kwao sasa leo tumekutana kwenye sherehe , sinika tupia ndoano akawa hana la kujibu katikati za nyimbo za mark anthony na west life tukawa tumehug tightly baadae tuka toka nje nikamsindikiza kujisaidia daaah si tuka sex without protector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…