JamiiForums Usiku wa manane

Hiyo kesi naiachia jamhuri, kama wataiendeleza sawa,wakiiacha pia sawa ila mimi nimeachana nayo maana nahisi kuna watu hapa washashikwa mkono na mtuhumiwa ndio maana inasuasua. Hii kesi ntawashtakia wahenga
 
Ni carbamazepine sio mie,mie karani tu

Ndio hivo sasa mtumie ujumbe huyo carbamazepine awahi kuja, nilianzisha hapa baba ubaya hatii mguu vita yake bora ushambuliwe na Osama. Ntaweka ndani wazee wa baraza na mashahidi. Karani mahakimu na wafanyakai nafunga wote. Hapo sijadai fidia za kesi na kunitweza heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…