Wee mwache tu anijie na vitu vya ajabu ajabu kama maua na kadi nitamfurumshia mbali hataamini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Mbona mnafanya ligi iishe kabla ya mzunguko wakubwa, au hii ndondo cup? Sasa uhonge nywele kakwambia ana kipara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomben msimtag mme wangu Jr mnataka limbwata liongezwesaa 2 tu nizimishwe usingizi nisiwe nakuja hapa kuwasalimia popo
ndege mjanja ananasa kwenye tundu bovu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani sikutegemea wewe na ujanja wako wote uangukie kwa yule mzee mchawi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nasubiri nione na wewe utaangukia kwa nani...Yaani sikutegemea wewe na ujanja wako wote uangukie kwa yule mzee mchawi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi huko na ww umejuaje?[emoji19]Mumu yuko mbali sana kwa sasa
Wacha weeMniamshie mumu asee
Wee mwache tu anijie na vitu vya ajabu ajabu kama maua na kadi nitamfurumshia mbali hataamini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe guna tuMmmmhhhh
Anniversary...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu matokeo yake yalikuwa nn
Apambane na hali yakeeeKama ungo una mafuta ya kutosha mpitie bonge hata kwenye ndoto tu apunguze mfadhaiko. Unamuumiza kisaikolojia.
Mlitumia kifungu namba ngapi/ cha sheria ipi/ ya mwaka gani ?Mambo yanaenda kisheria kwa kuzingatia vifungu sio hisia
Mmh!Wacha wee
Wala hakuna shakaaaa ndo kumekucha na mm nimekubali kila kituwewe msubiri mr arudi kutoka kwenye ulozi wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amepita njiaKafanyaje
SawaWewe guna tu
sawaAmepita njia
Mmmh huu ni uongo uliotukuka bila shaka uongo huu umeratibiwa na jje's [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikukataa thad, wewe mwenyewe uliingia mitini nilishaanda na uzi machachari
Yan wewe nakuona subiri nitakufurahishaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
naam chiefWe jamaaa