Daah mkuu, hilo huwa silifahamu, nashukuru, ntaanza kujitathmini boss.Mzima ndugu yangu mambo yako huwa yana hekima sana nakukubaki mzee.
Endelea kuchapa kazi [emoji1]
Acha tuu[emoji24] [emoji24] [emoji24] yaani nalia mpaka nahisi kupoteza fahamuKwanini?????!!!!!!!!![emoji15]
Naona usingizi umekua mzito Agash.[emoji42] [emoji42]Mlale saaa
Unaniachaje?Mlale saaa
[emoji23][emoji28][emoji23] u did well tho, hahaha ningekuuzia kweli braza [emoji125][emoji125][emoji125]Ila braza pale ulitaka kuniuzia msala
Ujue [emoji23]
Ahahahaaaaaamaji yakiisha nitakuja mwaalimu [emoji38][emoji38] ila baba kasema maji yataisha hadi mwezi ujaoo [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sikitiko la mahaba lashinda msiba
Waii bora niwe Padirii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Braza utapata shida we muwahi miss natafuta
Ha ha ha ha ha. Umemaliza kuuguza wewe??Unaniachaje?
Leo ntakosea sana mbona,..mm mwenyewe hata sielewi nlichoandika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tuganye ndio nn?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] WhyAcha tuu[emoji24] [emoji24] [emoji24] yaani nalia mpaka nahisi kupoteza fahamu
Sijui..niulizie baba chanjaNaona usingizi umekua mzito Agash.[emoji42] [emoji42]
Nimekuona nikamkumbuka last man standing Chepe ni chepe yu wapi siku izi?
Ntafurah sana jirani yangu[emoji3] [emoji3]
Jirani ngoja nikutafutie kile kitabu cha kumfanya mwanafunzi mtoro ahudhurie darasa bila kukosa[emoji125]
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Just here and there,mvua nyingi nakuta sms zimehama inbox zinaelea tu kwa water,sometimes missed call re swimming, jf is walking under the rain. Mitihani tupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina shida ntavumilia hadi uachike niingie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya mpenzi ntakusibiri kesho. Unipe na hiyo habari.Yaan baby wangu yaliyonikuta ntakuhadithia kesho wee kuwa mpole tuu, meskia uchungu kukuacha mwenyewe [emoji26]
Ni kazi ndogo, mwalimu aanze kugawa ubuyu kila siku, watoro watahudhuria[emoji23][emoji3] [emoji3]
Jirani ngoja nikutafutie kile kitabu cha kumfanya mwanafunzi mtoro ahudhurie darasa bila kukosa[emoji125]
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila its kinda your better off! Alikuwa anadhani kitatokea nn?
Kama utahiari kubali hiyo hiyo second position lakin
Ooh,ungekuja mapema pengine ungeokoa jahazi,..lakini lishazama sasa,[emoji24] [emoji24] [emoji24] halipo tena wiiiiiJust here and there,mvua nyingi nakuta sms zimehama inbox zinaelea tu kwa water,sometimes missed call re swimming, jf is walking under the rain. Mitihani tupu