JamiiForums Usiku wa manane

Mzee Baba swali lako hili lishanipa usingizi byebye
Hahahaaa hapana usisinzie mkuu tunatakiwa tukeshe kwa faida na mda huu ni wa wakubwa inatakiwa angalau tuwe tunabadilisha ideas hata za chombezo za mapenzi tukumbushane namna gani ya kuridhishana unapokuwa na mwenza ingependeza sana tukitumia kipindi hiki kuondoana tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…