Na pia tunakushukuru kwa kuzoefua na mchango wako wa kujitoa katika kufanikisha suala zima la lindo kuwa katika kiwango kizuri cheny kukizi kiu ya popoz na bundizz woteSisi Umoja wa Walinzi Tanzania (UWAT) kwa pamoja tunalishukuru jukwaa hili kwa vile huwa linatupa kampani Sana!
Kwa leo nipo poa wangu, asanteh kwa kujali mpenziAah mi najua kwa maombi yako mpenzi an safe, wacha nijitume maana ww ulisema by 35 hutaki [emoji23].
I love you much, halaf umekunywa dawa yyte maana ulisema unajiskia hovyo
Blaza kwema?Mpo wadau?
AsanteNa kwako pia.
Aminia Sana mzaziAminiiiiia
Sawa kaka nimekuelewanilikua sijui braza nisamehe tu kwakweli, ila huyo pia ni mwalimu wanguu [emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]
Hoja dhaifu hiyoNnaunga mkono hoja!!
Ukazie manDah usingizi unanitongoza
Sijui niukubaliee?
trust your instict, inaweza kuwa kweli tunafahamiana chief [emoji4]
Braza mbona mapema?Muwe na usiku mwema popozz,
Acha uzembe unakimbia wapi mzee babaMuwe na usiku mwema popozz,
Kwema kabisa mkuu, nimeona unaangalia game nikasema nisikusumbue.Isije ikawa umefungwa huko ukanitolea hasira mimi.Blaza kwema?
Hahaha, mie siku nyingi najua hili ,huko nimewaachia wenyeweNnadhani hata Iceman 3D anajua, basi tuu alikua anakupa moyo usikate tamaa.
Mchawi mkuu unataka uwarogeMmelala au
Hoja yenu ni dhaifu spika ameonelea ifutweBradha hili mbn liko Wazi ,umeliona hata wewe eeh
Hata Kama hujalaHakuna kulala
uchovu wa mwili na akiliBraza mbona mapema?
Hapo jazia mwenyewe......???