Pamoja na kukesha huwa siwezi kusinzia mchana .[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
OMG, nilimiss kukuita pia.
[emoji7] [emoji8]
Usjali najua mambo mengi
Halaf naskia ulisha pewa onyo la kusonzia sana ofisin kwa hyo issokey.
Kulinda mkuuUnajiinua kwenda wapi tena DA?
Nipo kaka, mahudhurio yangu sio ya kutilia shaka. Wewe ndio siku mbili tatu uliadimika.Braza
Ulikuwaga wap?
Leo walinzi tupo bwena, lindo lipo gadoKulinda mkuu
Braza
Ulikuwaga wap?
Bye byePamoja na kukesha huwa siwezi kusinzia mchana .
Nipo makiniii hahaha.
Hata hivyo niliamka tuu Ku susuu byee my dear [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahahahNipo kaka, mahudhurio yangu sio ya kutilia shaka. Wewe ndio siku mbili tatu uliadimika.
Braza wewe ndio uko na Shunie kwani?Hata hivyo kuna siku inabidi nipite kimyakimya mkuu, kumbe Shunie huwa anapita huku asubuhi kisha analeta malalamiko kwamba usiku nna mabebi huku kwenye huu uzi. Si ananisingizia mkuu? Kwa unavyonifahamu nna Bebi mie huku? Kazi yangu ulinzi tu na kupatanisha watu.
Hahahah
Braza mi kila sku nipooo.
Wewe ndio umepotea kabsaaa! Nakuina mmu tuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mie sina mtu mkuu, huyo ni Mama Yeyoo wa kufa na kufaana, alituweka foleni nikaamua kukaa pembeni. Amebaki kuwa rafiki wa nyakati zote.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anajua kupanga naye ndugu yangu.
Ila ungepigana basi ulilmkatiaje tamaa mtoto asee
Nna wivu sana bro, na yeye analitambua hilo. Niliamua tu kiroho safi nikae pembeni. Lakini ni mtu mzuri sana na mwema kuwa rafiki.
She is, hakuna baya unaweza sema kuhusu Shunie. Ni mtu poa.Nna wivu sana bro, na yeye analitambua hilo. Niliamua tu kiroho safi nikae pembeni. Lakini ni mtu mzuri sana na mwema kuwa rafiki.
Wivu ni kidonda, ukishiriki utakonda
Kweli jamaa apunguze wivuWivu ni kidonda, ukishiriki utakonda