JamiiForums Usiku wa manane

Jaman muwe na usiku mwema naenda kumbebisha shemeji yenu

Nina hamu ya kuangalia maiti ndo midaa yetuuu hiii Mr yupo mochwariii.

Nasikia rahaaa tu anavyowageuza maiti yan naenjoy ndo nazid kupagawa na penzi lakeeeee[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahahaa! Umeolewa na nani kwani? Mbona kama sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…