JamiiForums Usiku wa manane

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Usicheke bhana yan hapa namuonea aibu wife maana kashajua hapa leo kidume cha mbegu kimchemka na kitu kingne nahc wakat nakusanya hela zangu a.k.a shuka alikuwa ananichora tu na uskute alinichukua video xxa hpo ndio balaa kbxa aisee yan usngz hauji daaaadeki.
 
Hajachukua video mkuu. Ndoto nzuri lakini, maana nafikiri za hivi (pesa) ni adimu sana. Zilizojaa ni kukimbizwa tu!!!!
 
Haya Maisha aisee niko hapa naomba kazi. Naandika E-mail ili kesho mwajiri aisome ya Kwanza akifika ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…