JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu huyu mzee hakai ofisini, nje haendi kwa hiyo anabaki anazulula zulula tuu.
We Rais gani mara azindue mgari, mara azindue tawi la benki

Ana nchsha kweli mzee baba
Ndio staili yake ya uongozi. Tuwe wapole tu!!!
 
Akitoka hapo atakua pale uwanja wa sheikh Abeid akiangalia police wakifanya mazoezi yao.
Hahahaha
Hivi Rais wetu hana kazi kabsaa maana mi sha waja wahi ona mambo anayo yafanya.
Ana angalia Mazoezi ya polisi ili iweje sasa?
 
Hahahaha
Kuna rafiki yangu amasema akimaliza nyumba yake atajaribu kumualika eti
Hahah mskaji akitaka azinduliwe nyumba yake fasta aseme hii nyumba ni sample tu ya kiwanda tutakachojenga hahah,hapo fasta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…