JamiiForums Usiku wa manane

Hahahah
Mbona hiyo mikasa mi huwa si ipati et
Au kwa kuwa shift yangu ni night
 
Wazee fanyeni yote ndoa ni kitu cha kuheshimu Sana hta kama umeoa pipa au dumu lakn mke au mume ni ktu cha kuthamin kiingiapo na kitokapo
Daah! Braza kweli yaan hakuna mtu namheshim kama mke wa mtu yaan.
 
Hahahaha
 
Weww jitahidi uzulule majukwaa mbali mbali.
Ila epuka ID zenye fujo fujo
Tafuta mtu alo tulia
Kwani mchiz yuko siriazi?kuna mchiz flani humu anapenda ku taggiana na demu wake kila saa,siku 1 nacheki ile thread ya sehemu gani ya hatari uliwahi kufanyia mapenzi nikaona demu ameandika Msibani hahah,humu sio pazuri aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…